• Discover
  • New Arrivals
  • Radio Stations
  • Genres
  • Sign Up
  • Login
  • Upload
  • ...
    Profile Favorites History
    Sign out

Poncian Tv

KANUNI NA MUONGOZO Poncian Tv ni chombo cha Habari kinachozingatia weledi na Maadili yanayoongoza Tasnia ya Habari. Tumejikita katika kuripoti Matukio ya Siasa,Burudani Michezo na masuala ya Kijamii. Tunazingatia Misingi ya Uhariri katika Habari kwa kufuata yafuatayo: 1. Kuripoti habari za ukweli 2. Kusaidia kurekebisha Taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu 3. Kufuata misingi ya Habari kwa kuripoti Habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote 4. Kujiepusha na Udini, ukabila kufungamana na Chama chochote cha Siasa au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu 1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake 2. Poncian Tv ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi makali 3. Poncian Tv ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote 4. Poncian Tv ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni

slide
1 Episodes
Magufuli: Toboeni huo Mlima Upishe Ujenzi wa Reli Hakuna Kinachoshindikana Uchorongaji wa Handaki l From Poncian Tv - Published On 12/5/2019
12:37
Similar Podcasts
Premium Shop Listen To Premium Shop
FRANCE 24 Listen To FRANCE 24
David Watts Listen To David Watts
TRC RELI Listen To TRC RELI
0 Comments
Interesting Podcasts In Technology The coolest Podcasts in Technology.
Featured Technology Podcasts
Chimon-pérès Feunou
Mike Locke
DefenseWebTV
Premium Shop
TRC RELI
Sean Allen
...
English Français
Follow Us
Fb Tw Ig
Company
  • About Us
Business
  • Get The App
  • For Moorcasters
© Moorcast with ♥ From Douala, Cameroon. All Rights Reserved.