• Discover
  • New Arrivals
  • Radio Stations
  • Genres
  • Sign Up
  • Login
  • Upload
  • ...
    Profile Favorites History
    Sign out

Habari za

Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa inaripoti shughuli za UM kutoka makao yake makuu mjini New York, Marekani na kote duniani. Masuala ya amani na usalama, maendeleo na haki za binadamu ni masuala yanayotuhusu , hivyo habari za utatuzi wa migogoro, uchaguzi, afya, umasikini, elimu na mabadiliko ya hali ya hewa yanachukua nafasi kubwa katika orodha ya mada tunazoripoti. Idhaa ya UM mbali ya kutangaza habari na makala pia inatoa fursa ya bure kwa watu kupata sauti na video mbalimbali kupitia kwenye tovuti ya makataba yake ambayo ni (UN Audio Library website), sauti na video hizo ni kutoka kwenye mikutano inayoendelea na matukio ya kila siku , na pia sauti zilizohiofadhiwa zamani maktaba. Pia sauti na video hizo zinapatikana katika ubora wa hali ya juu na mtu anaweza kurekodi moja kwa moja kutoka kwenye tovuti yetu kwa kutumia faili ya MP3.

slide
2 Episodes
Mkuu wa UNFPA Tanzania atoa ujumbe wake kwa kiswahili kwa wakazi wa Mara From Habari za - Published On 12/2/2019
02:00
Dola 5000 zamsubiri mshindi wa uhifadhi wa mazingira Tanzania From Habari za - Published On 12/2/2019
10:21
Similar Podcasts
euronews (en Listen To euronews (en
Skytech Today Listen To Skytech Today
Photos of Listen To Photos of
Kenya NTV Listen To Kenya NTV
0 Comments
Interesting Podcasts In Travel The coolest Podcasts in Travel.
Featured Travel Podcasts
Africa Travel
Photos of
BISONIOSO CONGO
Claire Linden
Skytech Today
FRANCE 24
...
English Français
Follow Us
Fb Tw Ig
Company
  • About Us
Business
  • Get The App
  • For Moorcasters
© Moorcast with ♥ From Douala, Cameroon. All Rights Reserved.