ZUM Group
Fuata Zum Talk Show kwa lugha yako ya kiswahili, inayo letwa kwako na Presenter Madeleine Kwema. Huu mwaka nina ku ahidi mambo moto-moto ambazo zitagusa topics mbali mbali, Viashara, Culture, Entertainments, Pishi, Social, Fashion, na Elimu, na mengi zaidi. na wote muna alikwa. Tuko piya kwenye facebook, Twitter na Instagram,
" Tuko Pamoja"