Mwendokasi Tv
Mwendokasi TV ni chombo cha Habari kinachozingatia weledi na maadili kwa kiwango cha Juu kutoka katika muongozo wa maadili ya uandishi wa Habari nchini.
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha karola kwa watu mashuhuri kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini.
Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake.
Kktokuingilia faragha ya mtu.
Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
Mwendokasi Tv inaruhusu Maoni ya mtazamaji yasiyovunja maadili na tamaduni zetu na nchi yanapewa nafasi kama sheria ya nchi inavyoelekeza na yanayokiuka tunayaondoa Kabisa.
Mwendokasi Tv "We Run Together "