BE TV
Hii Ni channel ya kukufurahisha na kukuondolea stress kwa video za kukuchekesha(vichekesho vunja mbavu) kukufurahisha pia filamu za kitanzania na kukuhabarisha taarifa za vitu mbalimbali tupo kukuburudisha na kukuelimisha mtazamaji wetu subscribe channel yetu na bonyeza alama ya kengele ili usipitwe na video zetu Kila tutakapozitoa and to get more thanks