PlastaOG
Nikiwa kama msanii mwenye maadili ya KiAfrica Nina itambua thaman Na support yako kwangu. Usiache kusifia pale ninapofanya vzr na kukosoa pale ninapokose. usiache ku like na ku coment chochote kwenye kazi zangu unachojisikia ila usivuke mipaka.. cha mwisho nawapenda sana mungu awabariki
Kwa mawasiliano, ushauri tuma kwenye:
Email PlastaOG@Gmail.Com
instagram @PlastaOG
WhatsApp +255 (0) 653596730