Tim Ayo
Watu wengi wanatumia hela, magari, wanawake , muziki ,mpira wa miguu kama
Moja ya starehe katika maisha yao yote,
Lakin yote haya yanadum kwa kipind kifupi kwa baadhi yao, wenzangu na mm wanarudi kwenye
#ground_state
Kwa Nini inakua hivi,
Kuna kitu kinaitwa #being_consistence
,
Yaan kuendelea kuwa katika Hal yako au ubora wako, hii inahtj nguvu,akili,hisia,moyo na uimara.
Kwa sababu zote hizo starehe Zina matatizo yake .
Maisha yanabadilika kwa Kasi sana kwa jamii ,utamaduni,Mila na desturi.
Kutokana utandawaz unaokua kwa Kasi kidogo
Viumbe hai wote lazima tuendane
na hili #vibe_msisimko huu,kwa namna yoyote ile .
Na katika haya lazima tuamini na kupigania kwamba:-
1. Kila binadam ameumbwa na bahati yake ,basi aitafute ipasavyo.
2. Maisha ya Kila mtu Yana sura tatu Kama hela shilingi ambayo ,kuna sehem ya nyuma ,mbele na ndani. Maisha uliyo nayo Sasa ni sura ya mbele bado Kuna sehem mbili zimesalia.
3. Hatuna haja ya kuruhusu hata chembe , kazi tunazofanya ziharibu ndoto zetu.