Minibuzz Tanzania
Minibuzz ni kipindi chenye kujadili masuala yanayotokea kila siku ya maisha yetu kinachorekodiwa ndani ya daladala katika mitaa ya Tanzania. Kipindi hiki hurushwa na Star TV mara mbili kwa siku saa 12.30 jioni na saa 5 usiku na Jumamosi marudio ya wiki.
Jisajili na channel yetu ya Youtube ili uweze kupokea taarifa mpya, vichekesho na majadiliano mbalimbali ya Minibuzz kila siku. Bofya hapa:
https://www.youtube.com/channel/UCfRTJ6tw29EFa2YbpbobI6A/?sub_confirmation=1&feature=iv
____________
Minibuzz is a current affairs and debating program filmed daily in a daladala (commuter minibus) on the streets of Tanzania. The program is broadcasted by Star TV twice daily at 6.30 pm and 11 pm with an omnibus on Saturday.
Subscribe to Minibuzz TV on Youtube and receive alerts about daily new videos! Click here to subscribe:
https://www.youtube.com/channel/UCfRTJ6tw29EFa2YbpbobI6A/?sub_
Follow Minibuzz on Facebook: www.facebook.com/minibuzz.tanzania
Minibuzz is produced by MIATV: www.miatv.co