Swahili Universe
Swahili Universe inakusanya filamu zote za afrika mashariki na kuiweka kwako mtazamaji bure kabisa. kama vituo vingine vya burudani Swahili Universe itakua ikikupatia filamu mbalimbali ikiwemo vichekesho, mapenzi, usaliti, vita na mikasa, yote hii nikukuleta karibu na wasanii wako pendwa.. swahili universe inakuletea movie zilizojaa mastaa wa ndani na nje ya tanzania ikiwemmo WEMA SEPETU, JACKLINE WOLPER, IRENE UWOYA AUNT EZEKIEL, STEVE KANUMBA, RAY, PEMBE, MAJUTO, MUHOGO MCHUNGU na wengine wengi usikose kuangalia . subscribe,like na comment