VICOBA REAL
VICOBA INA HISTORIA NDEFU KATIKA JAMII YA TANZANIA,HASA KATIKA NYANJA YA UWEZESHAJI WA KIUCHUMI WA WATU WENGI WALIOWEZA KUBADILI MAWAZO KUWA UHALISIA.KWA ZAIDI YA MIAKA 20 SASA, MAANA HALISI YA VICOBA IMEELEWEKA NA KUTUMIWA KWENYE SEKTA MBALIMBALI IKIWEMO HII YA UUZAJI WA VIWANJA NA MAJENGO .VICOBA REAL ESTATE NI KAMPUNI YA UUZAJI WA VIWANJA,MAJENGO NA VINGINE VINAVYOHUSIANA NA HIVYO .IMESAJIRIWA MWAKA 2014,CHINI YA SHERIA YA KAMPUNI YA MWAKA 2002 NA KUPEWA NAMBA YA USAJIRI 109976 . KAMPUNI INATUMIA MBINU YA VICOBA KWENYE BIASHARA ILI KUMRAISISHIA MNUNUZI UPATIKANAJI WA BIDHAA KWA MALIPO YA AWAMU,UAMINIFU NA UHAKIKA.