MaleB TV
Channel ya MaleB TV Online itahusika na kurusha matukio yote ambayo yamechukua vichwa vya habari sehemu tofauti tofauti ili kukujuza wewe kinachoendelea. Pia itahusika na kurusha matukio live ili upate update za moja kwa moja kwa muda husika. Kuna vipindi vya ndani ambavyo vitakua vikiandaliwa kwa mfano mahojiano na vichekesho ambavyo vitachukua dakika tano hadi kuminatano.
UNACHOTAKIWA TU KUFANYA USIACHE KU SUBSCRIBE YOU TUBE CHANEL YETU AMBAYO NI MaleB TV KWA UPDATE MBALIMBALI.