Zanzibar 360
Zanzibar 360: ni channel ambayo makao makuu yake ni Zanzibar, Dhamira kuu ya channel hii ni kutoa habari na matukio yote ya zanzibar na Tanzania kiujumla, ikiwa ya siasa, burudani na michezo, habari za kijamii na mambo mengine Mbali mbali. kupata kila kinacho Jiri basi kuwa karibu Nasi kwa Ku-Subscribe Channel yetu hii.